New Updates

Makosa ambayo Mwanaume&Mwanamke HUPASWI kuyafanya katika maisha YAKO๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

 

Makosa ambayo Mwanaume&Mwanamke HUPASWI kuyafanya katika maisha YAKO๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ 


1. Usilazimishe mahusiano wala urafiki 


2. Usiombe kwenda ikiwa hujaalikwa, .


3. Usiingie kwenye madeni ili kuwafurahisha wakuone wewe tajiri kwao


4. Kuwa mtu mwema lakini usipoteze nguvu na muda kuthibitisha hilo 


5. Kamwe Usizungumze kuhusu utajiri wako katikati ya Maskini wala kuhusu mafanikio yako yoyote kwa wanaopitia changamoto mbalimbali


6. Punguza ushauri kwenye maisha ya watu, kama mtu hajakufata kukuomba ushauri. Mara nyingi utalaumiwa jambo litakapokuwa tofauti na ushauri wako


7. Tambua wakati wa kusema Hapana, usisite kusema hapana kwa hofu ya kuchukiwa. Watu wengi hujibu ndio sehemu waliotakiwa kusema hapana. Inaweza kuwa ndugu, marafiki, familia n.k usihofu kusema hapana


8. Usimwamini mtu yoyote, Rafiki wa kweli ni wewe mwenyewe.


Credited by iman the story teller presents

No comments