Mtumwa alieyekua na kazi ya kufanya mapenzi na watumwa wa kike wasiopungua 50 kwa siku.
Mwamba huyu hapa!
Mtumwa alieyekua na kazi ya kufanya mapenzi na watumwa wa kike wasiopungua 50 kwa siku ili kuzalisha watumwa zaidi kwa bosi wake.
👇👇
Alijulikana kwa jina la 'Pata Seca' japo jina alilopewa na wazaz wake lilikua ni ' Roque Jose Florêncio', Mtumwa wa kiafrika aliyezaliwa huko kwenye viunga vya Sorocaba, São Paulo nchini Brazil akiwa na urefu wa Futi 7.
Jamaa alikua ni jitu la miraba minne mwenye akili sana na alitumika kama 'Jogoo la mbegu'.
Kazi yake kubwa ilikua ni kufanya mapenzi na watumwa wa kike ili kuongeza uzao wa utumwa kwa bosi.
Huku wakiamini watoto wake watakua watumwa wenye nguvu na akili.
Mwamba alilala na wanawake wengi hadi leo haijulikan idadi lakini aliacha watoto wasiopungua 200.
Kwa kuwa ni mtumwa basi hakuwa na namna zaid ya kufanya matakwa ya boss wake.
Kutokana na watoto waliozaliwa kwa kazi ya jamaa kuwa na nguvu na afya kama ilivuotarajiwa basi jamaa alipata upendeleo sana na alikua akipewa huduma za tofaut na watumwa wengine.
Baada ya kukomeshwa kwa utumwa mwaka 1888 huko Brazil, Jamaa alipewa kipande cha ardhi kama zawadi.
Hapo mwamba alianza maisha yake na 'Palmira' na walipata watoto 9 na ukawa msingi wa familia na hapo akaanza kuishi maisha kwenye ardhi aliyopewa na wamiliki wake wa zaman kwa kujihusisha na kilimo hadi pale alipofariki mwaka 1958 akiwa na miaka 130.
Je wewe ungeweza???
Credited by iman the story teller presents

No comments